Tuesday, 7 July 2015

FAHAMU KUHUSU MAGOME YA MLONGE YANAVYOWEZA KUWA TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO

Dk. Abdallah Mandai ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Mandai Herbalist Clinic
Kama utakuwa ni mfuatiliaji mzuri wa www.dkmandai.com naamini utakumbuka jana Dk Abdallah Mandai alielezea namna mizizi ya mlonge inavyoweza kutumika katika kuongeza kinga za mwili kwa mtu mwenye upungufu wa kinga hizo.

Leo Julai 7,2015 Dk Mandai anapenda kuendelea kukueleza namna mmea huo wa mlonge unavyoweza kuwa tiba kwa matatizo mbalimbali, lakini leo ataelezea jinsi magome ya mlonge yanavyoweza kuwa tiba ya vidonda vya tumbo.Kama unahitaji ushauri au unamaoni zaidi unaweza kupiga simu namba 0716 300 200, 0769 400 800, 0784 300 300. Barua pepe, dkmandaitz@gmail. Au fika ofisini kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment