Wednesday, 15 July 2015

FAHAMU NAMNA NYANYA CHUNGU ZINAVYOWEZA KUWA TIBA YA KUONDOA MAUMIVU YA TUMBO


Leo Dk Abdallah Mandai anapenda kukufahamisha namna nyanya chungu inavyoweza kukusaidia katika kupunguza maumivu ya tumbo hasa kwa kinamama na kinadada.

Aidha, Dk Mandai anasema nyanya chungu inasaidia sana kuondoa maumivu kwa wale wenye shida ya kutoa haja ndogo (mkojo)


Karibu umsikilize Dk. Mandai hapa kwa kubonyeza 'Play'No comments:

Post a Comment