Friday, 17 July 2015

FAHAMU NAMNA YA KUTIBU TATIZO LA ALLERGY (MZIO) KWA NJIA ASILIAMzio (allergy) ni hali ya mwili kukutana na kitu nje au  ndani ya mwili. Mzio unaweza kutokea baada  ya kukutana na vitu kadhaa kama vile, aina fulani ya maua, vumbi, harufu ya manukato fulani, manyoya ya wanyama, baridi, vyakula na baadhi ya matunda.

Baadhi ya athari ambazo huweza kutokea kwa mtu mwenye mzio  ni kuvimba mwili, kupiga chafya, kukohoa, mafua, kujikuna pamoja na kupumua kwa taabu.

Hata hivyo kitu kimoja huweza kusababisha athari za aina tofauti kwa watu tofauti wenye mzio.

Ndimu ni moja ya tiba inayoweza kumsaidia mtu mwenye tatizo la mzio, namna ya kuandaa tiba hii ni kuwa na ndimu na kukamua ndimu ndani ya glasi moja ya maji ya uvuguvugu. Ongeza kijiko kimoja cha mezani cha asali. Kunywa kila asubuhi.

Pamoja na maelekezo hayo, lakini tunashauri zaidi utupigie simu kabla ya kutumia tiba hii ili tukupatie maelekezo vizuri. Unaweza kutupigia simu sasa kwa namba zifutazo 0716 300 200, 0769 400 800, 0784 300 300 au Barua pepe dkmandaitz@gmail.com


No comments:

Post a Comment