Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Tuesday, 14 July 2015

FANGASI SEHEMU ZA SIRI HUWATESA WANAWAKE WENGI, HIVYO NI VYEMA UKAFAHAMU NAMNA YA KUTIBU KWA NJIA ASILIFangasi za ukeni ni moja ya matatizo ambayo huwasumbua kinadada waliowengi. Tatizo hili hujulikana kama Candida.

Fangasi hawa husababisha muwasho mkali  sehemu za siri na fangasi hao huweza kuambukizwa kwa njia ya kujamiana.

Dalili za tatizo hili ni huo muwasho sehemu za siri, kutokwa na uchafu ukeni ambao mara nyingi huwa na rangi ya maziwa.

Wanawake wengine wenye shida hii hupata maumivu wakati wa tendo la ndoa, michubuko na hata viupele wakati mwingine.

Matibabu ya fangasi hawa huweza kutibika kwa dawa za hospitali, lakini kama fangasi zako zimekuwa ni sugu yaani ni zile za kujirudia rudia mara kwa mara basi ni wakati mzuri sana kwako kutumia dawa kutoka Mandai Herbalist Clinic iitwayo  'Mama Asili Plus B51'

Hii ndio Mama Asili Plus B51.
 
 Mama Asili Plus B51 hii ni dawa yenye uwezo wa hali ya juu aambayo inatokana na mitishamba.

Dawa hii imetoa matokeo mazuri kwa kina mama na kinadada wenye shida ya fangasi sehemu za siri (ukeni)

Pamoja na kutumika katika kutibu fangasi pia dawa hii huwasaidia wale kinamama na kinadada wenye shida ya kutokwa na maji yenye harufu mbaya sehemu za siri, kuondoa uvimbe kwenye kizazi.

Dawa hii imechanganywa kitaalam kwa kutumia mitishamba mbalimbali kwa kuzingatia kanuni ya afya na haina kemilkali yoyote kwa matumizi ya mtumiaji.


Kama unasumbuliwa na tatizo la fangasi sehemu za siri na ungependa kuanza kutumia dawa zetu ili kupona kabisa basi tutatafute Mandai Herbalist Clinic kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300 au 0769 400 800

No comments:

Post a Comment