Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Friday, 10 July 2015

HAYA SASA MAMBO YAMESHAPAMBA MOTO DODOMA, NAPE AWEKA WAZI RATIBA NZIMA YA VIKAO VYA CCM IPO HAPA

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma
Ukisikia ule usemi wa mtoto hatumwi dukani basi ndio leo, hii ni baada ya Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kuweka wazi kuwa vikao vyote vitafanyika leo Julai 10.

Vikao hivyo ni pamoja na kikao cha kamati ya usalama na maadili pamoja na vikao vya mchujo wa wagombea kuanzia watano (5) mpaka kupata watatu (3) na mgombea wa Urais Zanzibar.

Baada ya hayo kufanyika leo Julai 10, kesho Julai, 11  sasa ndio itakuwa ile siku yenyewe ya ule mkutano mkuu wa CCM ambapo hapo ndipo atapatikana mgombea mmoja ambaye atapeperusha bendera ya CCM kwa nafasi ya Urais.

Ratiba kamili hii hapa chini ...>>>

Kama ungependa kutangaza na tovuti yetu hii. tupigie simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300

No comments:

Post a Comment