Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Wednesday, 22 July 2015

HIZI NDIZO TABIA AMBAZO ZINASABABISHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME


Upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo linaloongezeka sehemu mbalimbali hapa duniani

Suala la uume kushindwa kusimamisha au kusimamma ukiwa legelege ni moja ya matatizo ambayo huhitaji msaada wa kitabibu zaidi

Tabia zifuatazo zinachangia kutokea kwa tatizo hili kwa wanume:
  • Unywaji wa pombe kupita kiasi
  • Kula vyakula visivyo na virutubisho; nafaka zisizokobolewa, vyakula vyenye mafuta kwa wingi, kiasi kidogo cha mboga za majani na matunda kwenye mlo.
  • Uvutaji wa sigara na utumiaji wa bidhaa za tumbaku.
  • Kutofanya mazoezi ya mwili.
  • Uzito wa kupitiliza (overweight).
Endapo utapunguza au kuacha tabia hizi itasaidia kutibu tatizo hili kama unalo au kupunguza uwezekano.

Unaweza kuwasiliana nasi Mandai Herbalist Clinic kwa simu namba 0716 300 200, 0769 400 800, 0784 300 300 au barua pepe dkamandaitz@gmail.com ili kupata huduma zetu, kumbuka kuwa tupo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam. 

No comments:

Post a Comment