Saturday, 11 July 2015

ILE TANO BORA YA CCM IMESHAPATIKANA TAYARI IPO HAPA


Waliotangaza nia ya kutaka kuwania nafasi ya urais walikuwa zaidi ya 38, lakini ilikuwa inahitajika kupatikana ile tano bora ambayo tayari imetangazwa kupitia ukurasa wa Twitter wa CCM@ ccm_tanzania.
  
Waliofanikiwa kuingia katika tano bora hiyo ni Bernard Membe, John Magufuli, Asha Rose Migiro, January Makamba, Amina S. Ali. Hatua inayofuata ni majina ya wagombea hawa kukabidhiwa kwa HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC) ili kupata ile Top 3 sasa.

Kwa sasa ipate hii Tano bora hapa chini>>>
Tutaendelea kukuletea taarifa mbalimbali kuhusu mchakato huu, hivyo kuwa nasi siku nzima hii ya leo ili kupata taarifa mbalimbali.

No comments:

Post a Comment