Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Monday, 20 July 2015

IMARISHA UREMBO WAKO KWA KUTUMIA KIAZI MVIRINGO

Ishu ya kuwa na muonekano mzuri au kuonekana mrembo ni suala ambalo karibu kila mwanamke hupenda kuonekana hivyo, lakini swali linakuja ni namna gani utaonekana mrembo na utatumia bidhaa gani au product gani ili uonekane vizuri.

Lakini bila shaka wengi tunavifahamu viazi mviringo na huwa tunavitumia pia katika maisha yetu ya kila siku, lakini swali linakuja je, unafahamu kuwa viazi hivyo vinaweza kukusaidia katika masuala yako ya uremmbo hasa wa ngozi?

Mtaalam wa tiba asili Dk Abdallah Mandai ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Mandai Herbalist Clinic anasema kuwa viazi hivi mbali na kuwa chakula pia vikipondwa na kubandikwa juu ya tatizo lolote la ngozi au bawasira huwa tiba nzuri sana.
Viazi mviringo
Pamoja na hayo, matumizi mazuri ya kiazi hiki huweza kuwa msaada mkubwa sana kwa afya ya ngozi yako, kinachotakiwa kufanyika katika hili ni kunawia juisi yake na machicha yake utayabandika kila mahali juu ya ngozi na itasaidia kuondoa makunyanzi yote ya uzee pamoja na kulainisha ngozi.

Kama unasumbuliwa na ugonjwa wowote au matatizo ya ngozi mbalimbali unaweza kuwasiliana nasi Mandai Herbalist Clinic kwa simu namba 0716 300 200, 0769 400 800, 0784 300 300 au barua pepe dkamandaitz@gmail.com pia kupitia ukurasa wetu wa facebook Mandai Herbalist Clinic- mhc

No comments:

Post a Comment