Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Saturday, 11 July 2015

JE, HAYA ALIYOWAHI KUYAHUSIA BABA WA TAIFA MWL. NYERERE YAMEZINGATIWA KATIKA MCHAKATO WA UTEUZI WA WAGOMBEA URAIS WA CCM?

Ikiwa tayari ile orodha ya tano bora ya wale wanaohitaji kupeperusha bendera ya Chama cha Mapinduzi CCM katika ngazi ya urais tayari ipo hadharani.

Waliofanikiwa kuingia katika tano bora hiyo ni Bernard Membe, John Magufuli, Asha Rose Migiro., Januari Makamba, Amina S. Ali.

Kufuatia matokeo hayo yamezua gumzo katika mitandao ya kijamii baada ya hatua ya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu Edward Lowasa jina lake kukatwa licha ya hapo awali kuonekana kuwa na nafasi kubwa ya kupata nafasi hiyo.

Mh. Edward Lowasa
Walio wengi wameonesha kushangazwa na uamuzi huo wa kukatwa kwa Mh. Lowasa, lakini hapa chini nimeona nikuwekee hii sauti ya hayati baba wa taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere ambaye yeye aliwahi kuzungumzia kuhusu namna yakumteua mgombea wa kuwakilisha chama hasa katika nafasi kubwa kama hiyo ya urais.

Sikiliza hapa Mwl; Nyerere alivyowahi kusema


No comments:

Post a Comment