Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Monday, 27 July 2015

JE, HIZI PICHA ZINAASHIRIA NINI KWA MHESHIMIWA LOWASSA NDIYO TAYARI KAFANYA MAAMUZI MAGUMU AU LAA?!!

Kumekuwa  na uvumi kuhusu aliyekuwa Waziri Mkuu Mhe; Edward Lowassa kukihama chama cheke cha Mapinduzi CCM na kuhamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.

Uvumi wa kuhama kwa kiongozi huyo sasa umeenea zaidi kupitia mitandao ya kijamii pamoja na blogs mbalimbali.

Leo zimetoka hizi picha zikimuonesaha Mheshimiwa Edward Lowassa akiwa meza moja na viongozi wa CHADEMA hali ambayo imewaacha watu na maswali wasijue kama kiongozi huyo tayari ameamua kujiunga na chama hicho rasmi.

Endelea kuwa karibu na tovuti hii kwa taarifa zaidi kila siku, lakini pia unaweza kutangaza nasi kwa gharama nafuu sana tupigie simu namba 0716 300 200, 0784 300 300

No comments:

Post a Comment