Friday, 31 July 2015

JE, UNGEPENDA KUVIFAHAMU VYUO KUMI BORA BARANI AFRIKA? VIMETAJWA LEO VIPO HAPA

Imebainika kuwa vyuo vikuu vya Afrika Kusini ndio bora zaidi na maarufu barani Afrika.

Tathimini hiyo ni kwa mujibu wa utafiti uliofanyika majuzi, na kubaini kuwa vyuo vikuu vya Afrika Kusini vilishika nafasi 6 katika orodha ya vyuo vikuu kumi bora, huku Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda kikishika nafasi ya tatu.

Hapa chini kuna orodha kamili ya vyuo kumi bora barani Afrika

Chuo kikuu cha Cape Town - Afrika Kusini

Chuo kikuu cha Witwatersrand - Afrika Kusini

Chuo kikuu cha Makerere - Uganda

Chuo kikuu cha Stellenbosch - Afrika Kusini

Chuo kikuu cha KwaZulu-Natal - Afrika Kusini

Chuo kikuu cha Port Harcourt - Nigeria

Chuo kikuu cha Western Cape - Afrika Kusini

Chuo kikuu cha Nairobi - Kenya

Chuo kikuu cha Johannesburg - Afrika Kusini

Chuo kikuu cha Cadi Ayyad - Morocco.


Unaweza kutangaza na tovuti hii sasa wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment