Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Monday, 27 July 2015

JIBU LA SWALI MOJA TU LIKAMFANYA JAMAA KUPATA ZAWADI

Wiki iliyopita Mkurugenzi wa Mandai Herbalist Clinic,  Tabibu Abdallaha Mandai aliuliza swali kupitia redio Passion Fm na akaahidi kutoa zawadi kwa mtu atakayejibu swali hilo kwa usahihi.

Kweli watu wakaitikia na walijaribu wengi kujibu swali hilo, lakini mwisho wa siku mshindi alihitajika mmoja ambaye alipatikana kutoka Mkuranga nje kidogo ya jiji Dar es Salaam anayeitwa Fahamu Juma.
Meneja wa Mandai Herbalist Clinic Methodia Daudi (kulia) akimkabidhi Fahamu Juma zawadi yake ya kitabu
Fahamu Juma siku ya Jumamosi Julai 25,  2015 alifanikiwa kufika Mandai Herbalist Clinic iliyopo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam na kukabidhiwa zawadi yake na Meneje wa Mandai Herbalist Clinic Medhodia Daudi ambapo Juma alikabidhiwa  zawadi ya kitabu kizuri ambacho kinaelezea kuhusu mimea tiba matunda pamoja na masuala ya lishe bora.

Unaweza kuwasiliana nasi Mandai Herbalist Clinic kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment