Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Monday, 13 July 2015

KAMA HUWA UNAPATA MAUMIVI YA TUMBO WAKATI WA HEDHI NI VYEMA UKAMSIKIA HAPA DK. MANDAI

Mara kadhaa tumekuwa tukikuletea masomo mbalimbali kuhusu mimea tiba na leo tena Dk Abdallaha Mandai ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Mandai Herbalist Clinic anapenda kuzungumza na vijana wa kike na kiume.

Miongoni mwa mambo ambayo Dk. Mandai atakwenda kukufunza leo ni pamoja na matatizo yanayowakumba mabinti wengi ikiwa ni pamoja na ile hali ya kupata maumivu wakati wa hedhi, lakini kwa wanaume Dk, Mandai atazungumzia tatizo la kujichhua.Bonyeza Play hapa chini ili kumsikiliza Dk, Mandai>>>

No comments:

Post a Comment