Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Saturday, 11 July 2015

KAMA ULIKUWA HUAMINI AU HAUNA UHAKIKA KUHUSU ILE TANO BORA YA WAGOMBEA WA CCM ILIYOTANGAZWA, BASI RAIS KIKWETE KAAMUA KUTHIBITISHA


Ilianza kama tetesi kupitia mitandao ya kijamii mbalimbali kuhusu wagombea walioteuliwa kuingia katika kinyanganyiro cha urais kupitia CCM, sasa ukweli umekamilika hii ni baada ya hii post ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwenye ukurasa wa Twitter yake.

Ambapo Rais Kikwete ameandika "Kamati Kuu imefanya kazi ya kwanza. Majina matano ya awali ni: Bernard Membe, John Magufuli, Asha Rose Migiro., Januari Makamba, Amina S. Ali“–@jmkikwete.Endelea kuwa karibu na tovuti hii ili kupata taarifa mbalimbali kuhusu huu mchakato wa kumpata mgombea wa kupeperusha bendera ya CCM katika nafasi ya urais.

No comments:

Post a Comment