Wednesday, 8 July 2015

KAMA UNAPENDA KUONEKANA VIZURI KUHUSU NYWELE ZAKO, SOMA HAPA


Kwa kawaida kinadada wengi mara zote hupenda kuonekana warembo na moja ya mambo ambayo huzingatia katika urembo wao ni pamoja na suala la utunzaji wa nywele zao.

Lakini pamoja na wanawake kupenda kuwa na nywele ndefu na zenye afya bado kuna baadhi yao wana nywele dhaifu, huku zikiwa zikikosa muonekano mzuri.

Ni vyema ikafahamika kuwa lishe nayo inahusika katika kukusaidia kuboresha afya ya nywele zako, hivyo ni vyema ukajaribu kula chakula chenye virutubisho sambamba na maji mengi, hii
itakusaidia kwa kiasi kikubwa kuboresha afya ya nywele zako.

Pia ni vizuri kutumia mafuta yanayotokana na mimea kwa ajili ya kurutibisha nywele.
Shampoo yenye uwezo wa kumaliza tatizo la mba kwenye nywele zako na kuzifanya kukua vizuri zaidi na kuonekana zenye afya, bidhaa hii inapatikana Mandai Herbalist Clinic

  
Pia Mandai Herbalist Clinic tunazo Shampoo nzuri zenye uwezo wa kufanya nywele zako kuonekana vizuri na zenye afya muda wote, ikiwa unahitaji wasiliana nasi kwa simu namba, 0716 300 200, 0769 400 800, 0784 300 300. Barua pepe, dkmandaitz@gmail. Au fika ofisini kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment