Advertisement

Advertisement

Shop

Shop

Mixer

Mixer

Sunday, 12 July 2015

KAMA UNGEPENDA KUFAHAMU UMUHIMU WA TUNDA LA STAFELI KATIKA TIBA BASI USIPITWE NA KIPINDI CHA MANDAI AFYA.COM LEOMandai Herbalist Clinic inapenda kukujuza kwamba leo Jumapili itakapofika saa 1:25 Usiku usikose kutazama kipindi cha Mandai Afya. com ambacho kitaoneshwa kupitia kituo cha Star TV, ambapo Tabibu Abdallah Mandai atakuwa akizungumzia namna tunda la stafeli au mtopetope linavyoweza kutumika katika kutibu magonjwa mbalimbali. Hakikisha hupitwi na kipindi hiki ili kujifunza mengi zaidi kuhusu tunda hilo.

 Kama una maswali au maoni unaweza kuwasiliana nasi Mandai Herbalist Clinic kwa simu namba 0716 300 200, 0769 400 80, 0784 300 300. Barua pepe, dkmandaitz@gmail. Au fika ofisini kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment