Friday, 3 July 2015

KENYATTA NDIYE AMETAJWA KUWA RAIS BORA NDANI YA BARA LA AFRIKA


Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amechaguliwa na muungano wa wanafunzi wa Vyuo vikuu barani Afrika AASU kama rais bora barani Afrika mwaka huu.

Muungano huo unasema kuwa maelfu ya wanafunzi kutoka kote barani walishiriki katika kura hiyo.

Rais Uhuru Kennyatta akitunukiwa tuzo
Bwana Kenyatta alichaguliwa kwa uwezo wake wa kujenga makubaliano kitaifa na kimataifa,juhudi zake za kubadilisha sera na kutoa ufumbuzi katika maswala yanayowaathiri wakenya.

Itakumbukwa kwamba Rais wa Rwanda Paul Kagame naye alishinda tuzo hiyo mwaka uliopita.

Kama unahitaji kutangaza nasi kupitia tovuti hii, wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200, 0769 400 80, 0784 300 300. Barua pepe, dkmandaitz@gmail. Au fika ofisini kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam.Gharama zetu ni rahisi sana na tangazo lako litawafikia au kutazamwa na zaidi ya watu elfu themanini

No comments:

Post a Comment