Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Friday, 10 July 2015

KITUO CHA POLISI KIMECHOMWA MOTO NA BARABARA KUFUNGWA NI BAADA YA MWANAFUNZI KUGONGWA BUNJU, DARWananchi wa Kituo cha Bunju 'A' jijini  Dar es Salaam wamechoma Kituo cha Polisi moto pamoja na  kufunga barabara baada ya mwanafunzi kugongwa na Gari katika Eneo hilo.

 Mwanafunzi aliyegongwa na gari hiyo amefahamika kwa jina la Radhia Omary ambaye ni mwanafunzi wa shule ya msingi.


Kufuatia hali hiyo askari wa Kituo hicho cha Polisi wamekimbia baada ya watu wengi kuvamia Kituo hicho na kuanza kukichoma moto.

Inaelezwa kuwa watu wanadai wameamua kufanya hivyo kwa kuwa sio mara ya kwanza tukio la ajali ya aina hiyo kutokea.

Source: ITV 

No comments:

Post a Comment