Friday, 17 July 2015

KIUNGO CHA KARAFUU KINAWEZA KUWA MSAADA NDANI YA AFYA YAKO
Karafuu ni kiungo ambacho hupatikana sana Zanzibar, kiungo hutumika sana na kina mama katika mapishi mbalimbali husani katika mwezi wa mfungo kama huu.

Karafuu ina sifa ya kuwa na ‘carbohydrates’  protini, mafuta (Volatile oil), nyuzi nyuzi ‘fiber’calcium,’  madini chuma na ‘potassium,’ pamoja na vitamin A na C.

Aidha, karafuu pia husaidia kuboresha uyeyushwaji wa chakula tumboni, huku ikisaidia kupunguza kichefuchefu, kutapika na kuharisha.

Mbali na hayo, karafuu husaidia kulinda meno na kusaidia yasiharibike pamoja na kufanya kinywa kuwa na harafu nzuri.

Unaweza kuwasiliana nasi Mandai Herbalist Clinic kwa simu namba 0716 300 200, 0769 400 800, 0784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com ikiwa unasumbuliwa na ugonjwa wowote tupigie sasa.

No comments:

Post a Comment