Tuesday, 14 July 2015

KUELEKEA UCHAGUZI MKUU, TUME YA TAIFA IMEAMUA KUTANGAZA HAYA MAJIMBO MAPYA 26

Mwezi, Octoba mwaka huu 2015 Tanzania itakuwa ikiingia katika Uchaguzi Mkuu wa viongozi wa ngazi mbalimbali ikiwa ni pamoja na Rais pamoja na wabunge.

Katika kuelekea katika mchakato huo wa kuwapata viongozi mbalimbali Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza majimbo ishirini na sita ya uchaguzi baada ya kugawanywa.

Orodha kamili ya majimbo hayo ipo hapa chini unaweza kuitazama >>

Karibu utangaze nasi sasa wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200, 0769 400 80, 0784 300 300. Barua pepe, dkmandaitz@gmail. Au fika ofisini kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam.Gharama zetu ni rahisi sana na tangazo lako litawafikia au kutazamwa na zaidi ya watu elfu tisini.

No comments:

Post a Comment