Thursday, 2 July 2015

KUTANA NA GARI HII ILIYOPATA AJALI NA KUTUA JUU YA PAA LA NYUMBA KISA ILIPANDA TUTA LA BARABARANI TU!! (PICHA)


Kweli kuna wakandalasi hatari sana, hivi unaweza kuamini kuwa gari ikiwa barabarani ilipanda tuta na kuruka juu kisha kutua juu ya paa la nyumba.

Hii imetokea mapema leo nchini Afrika Kusini dereva wa gari hilo amesema alipokuwa akiliendesha gari hilo alikutana na tuta moja barabarani lililosababisha gari hilo kuruka na kuanguka katika paa la nyumba hiyo.Hata hivyo bado haijafahamika ni vipi tuta hilo lilisababisha ajali hiyo.

No comments:

Post a Comment