Wednesday, 29 July 2015

KWELI SIASA MCHEZO MCHAFU!! SIKIA HAYA MANENO ALIYOWAHI KUYASEMA DK. SLAA KUHUSU LOWASSA

Kumekuwa na tetesi mbalimbali zikisema kwamba huenda Dk Wilbroad Slaa, na John Mnyika hawajapenda na hawajakubali kitendo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Mhe; Edward Lowassa kukaribishwa ndani ya chama chao (CHADEMA) na ndio maana jana Julai 28, hawakuonekana katika zoezi la kumtambulisha rasmi Lowassa kujiunga na chama hicho.

Hii hapa ni chini ni video ikimuonesha Dk. Slaa akimzungumzia Lowassa  tazama na sikiliza mwenyewe.


Unaweza kutangaza na tovuti hii sasa wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com


No comments:

Post a Comment