Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Sunday, 12 July 2015

MAGUFULI NDIYE ATAKAYEPEPERUSHA BENDERA YA CCM KATIKA URAIS

Hatimaye  ule mchakato wa kumpata mgombea mmoja wa urais kupitia CCM umekamilika mjini Dodoma na Mh. John Pombe Magufuli ndiye amefanikiwa kupeperusha bendera ya chama hicho tawala.

Magufuli anapata nafasi hiyo baada ya kuwashinda wale wagombea watatu walio kuwa wameingia katika tatu bora usiku wa jana Julai 11, 2015, ambao alikuwa ni Dk. Asha Rose Migiro na Balozi Amina pamoja na yeye mwenyewe John Pombe Magufuli.

No comments:

Post a Comment