Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Monday, 6 July 2015

MANENO YA RAIS KIKWETE KWA WANANCHI NA VIONGOZI WA DINI


Ikiwa imebaki miezi mitatu tu Tanzania kuingia kwenye uchaguzi mkuu wa Rais na Wabunge kuna maneno ambayo Rais Jakaya Kikwete ameyasema kupitia mtandao wa Tweeter

Hii ni Tweet ambayo Rais Kikwete aliandika July 5 2015 >>> ‘Tusiwasikilize wanasiasa wanaowagawa Watanzania na kutumia fedha kutafuta madaraka. Mchezo wao ni mauti yetu. Wakatalieni kwa macho makavu, Tusiruhusu wanasiasa kutumia dini ambazo ni mhimili muhimu wa amani yetu. Ukiwepo mfarakano wa kidini hakuna mtu wala eneo litakalonusurika’
Mengine aliyoyasema kupitia mtandao huo ni haya >>> ‘Tukiamua kwa utashi wetu kuzipoteza tunu za amani na upendo, katu hatuwezi kusema ni mapenzi ya Mungu bali itakuwa ni makosa yetu wenyewe, kiongozi wa dini anapaswa kukumbusha wajibu wa: kujiandikisha, kupiga kura na kuchagua kiongozi bora; si kuwaambia waumini wamchague fulani‘
JK 2

No comments:

Post a Comment