Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Sunday, 12 July 2015

MATOKEO YA MWISHO YA MCHAKATO WA CCM YAPO HAPA


Baada ya ule mchakato wa kumpata mgombea wa urais wa Chama cha Mapinduzi CCM kuhairisha hapo jana usiku Julai 11, 2015. leo tena baada ya kura kusebiwa kuna haya matokeo yametoka kati ya yale majina matatu.

Kwa mujibu wa mtandao wa kijamii wa Twitter wa CCM matokeo ya kura za wagombea kutokana na mkutano mkuu yapo hivi Mhe. John Magufuli 87%, Dk. Asha Migiro 10% na Balozi Amina Ali 3%
Mh. John Pombe Magufuli
Endelea kuwa karibu nasi kila wakati ili tuendelee kukuarifu kuhusu huu mchakato unaoendelea mjini Dodoma

No comments:

Post a Comment