Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Wednesday, 15 July 2015

MATUNDA MBOGAMBOGA VIMETAJWA KUWA NA UWEZO WA KUZUIA SARATANI YA MATITI


Imeelezwa kuwa mtumizi ya matunda na mboga mboga huzuia saratani ya matiti kwa wanawake.

Hayo yameelezwa na Daktari Çağatay Erden Daphan ambaye ni Mkurungenzi katika kitengo cha upasuaji katika Chuo Kikuu cha Kirikkali kilichopo nchini Uturuki ambapo amesema matumizi ya matundambalimbali na mboga za majani huwa ni lishe muhimu sana kwa binadamu na kutunza afya.

Aidha Dkt. Daphan alifafanua kuwa ulaji wa matunda na mboga mboga unaweza kuzuia maradhi mengine kama vile saratani ya matumbo na ut iwa mgongo. Huku akitaja karoti, viazi mbatata, bilinganya na asali ni vyakula ambavyo vinawingi wa madini ya Karotinoidi.

Karibu utangaze nasi sasa wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200, 0769 400 80, 0784 300 300. Barua pepe, dkmandaitz@gmail. Au fika ofisini kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam.Gharama zetu ni rahisi sana na tangazo lako litawafikia au kutazamwa na zaidi ya watu elfu tisini.

No comments:

Post a Comment