Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Wednesday, 15 July 2015

KIAZI CHA MGOMBA HUTIBU MUWASHO SEHEMU ZA SIRI


Tatizo la kuwa na muwasho sehemu za siri ni moja ya tatizo ambalo huwakabili watu mbalimbali hususani vijana wa kike na kiume.

Tatizo hili huchagiwa sana na fangasi aina ya candida na kuwatesa pia, lakini kuna baadhi ya vitu asili vinapotumika huweza kuwa tiba nzuri ya tatizo hili.

Kiazi cha mgomba
Moja ya tiba nzuri ya tatizo hili la muwasho sehemu za siri ni pamoja na kiazi cha mgomba. Tunapozungumzia kiazi cha mgomba hiki ni kile ambacho hupaitikana katika mizizi ya mgomba.

Unachotakiwa kufanya nikuchimba kiazi cha mgomba, kisha kioshe vizuri na kukikata katika vipande vidogo vidogo .

Baada ya hapo kama utahitaji kujua hatua ya mwisho ya kukamirisha dawa hiii ili iweze kukusaidia kuondosha tatizo la  muwasho sehemu za siri wasilinan nasi kwasimu nembo   0716 300 200, 0769 400 800,, au 0784 300 3000. Au barua pepe www.dkmandai.com

No comments:

Post a Comment