Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Thursday, 23 July 2015

MLONGE UNASIFA NYINGI SANA KATIKA TIBA , LEO KUNA HIZI NYINGINE TENA


Unapoamua kuzungumzia miti yenye faida nyingi za kiafya, basi Mlonge unaweza kuwa unaongoza, kwa sababu kila eneo la mti huu, kuanzia majani, maua, mbegu, magamba hadi mizizi yake vyote kwa pamoja ndani yake kuna virutubisho vya kipekee vyenye faida nyingi za kiafya kwa binadamu.

Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na shirika moja lijulikanalo kama 'Trees For Life,' majani ya Mlonge yana Vitamin A nyingi kuliko karoti, vitamin C nyingi kuliko machungwa na madini ya Potassium nyingi kuliko ndizi mbivu, halikadhalika ubora wa protini yake ni bora kushinda maziwa na mayai.
Mbegu za mlonge
Halikadharika Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali, mti wa Mlonge unaelezawa kuwa na uwezo wa kutibu karibu magonjwa 300 ya aina mbalimbali, yakiwemo yale magonjwa sugu, Miongoni mwa magonjwa hayo ni pamoja na kisukari, shinikizo la damu la juu na la chini, magonjwa ya ngozi, matatizo kwenye njia ya mkojo hasa U.T.I pamoja na kuongeza kinga mwilini na kuongeza nguvu za kiume.

Kwa maelezo zaidi au ushauri namna ya kuutumia mmea huu ni vyema ukawasiliana na Mandai Herbalist Clinic kwa simu namba 0716 300 200, 0769 400 800, 0784 300 300 au barua pepe dkamandaitz@gmail.com au fika ofisini kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment