Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Saturday, 25 July 2015

RAIS OBAMA KAAMUA KUWASALIMIA KISWAHILI KABISA WAKENYA VIDEO IPO HAPA

Rais Barack Obama aliwasili July 24 2015 nchini Kenya huku ikiwa ni mara ya kwanza kwa Rais huyo wa kwanza wa Marekani kutembelea nchi hiyo.

Leo July 25 2015 Rais Obama amefungua Kikao cha Global Entrepreneurship Summit Nairobi Kenya,.

Rais Obama mara baada ya kukaribiswa na mwenyeji wake, akasalimia kwa kiswahili cha Wakenya alisikika akisema ‘Niaje wasee"

Kipate kipande cha video hiyo pale ambapo Rais Obama alitoa salama kiswahili.

No comments:

Post a Comment