Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Thursday, 23 July 2015

TABIBU MANDAI ANAKUFAHAMISHA HUU UWEZO MWINGINE WA TUNDA LA PARACHICHI

Tunda la parachichi ni tunda linaloupatia mwili vitamini nyingi ikiwemo vitamini C ,Tunda hili hupatikana kwa wingi zaidi katika mikoa ya Mbeya, Tanga, Kilimanjaro na Iringa kidogo katika baadhi ya sehemu.

Kimsingi parachichi lina faida nyingi kiafya, hususani kuukinga mwili dhidi ya kemikali hatari pamoja na kumfanya mtu kuonekana kijana zaidi.

Pamoja na umuhimu wake huo pia tunda hili limekuwa likitumiwa na wanawake wengi kama nyenzo  muhimu katika masuala ya urembo kwa kupaka usoni, au nywele.

Tunda la parachichi
Lakini hapa leo Tabibu Abdallah Mandai anazo hizi sifa nyingine muhimu ambazo mtu huweza kusipata pale tu anapotumia tunda hili la parachichi.

Bonyeza 'play' hapo chini ili kumsikiliza Tabibu Mandai akielezea parachichi.


Kama unahitaji maelezo zaidi kutoka kwa Tabibu Mandai kuhusu tunda hili au swali lolote unaweza kuwasiliana naye kwa simu namba 0716 300 200, 0769 400 800 , 0784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment