Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Thursday, 9 July 2015

TABIBU MANDAI LEO ANAKUPATIA HIZI FAIDA ZA MBEGU ZA MLONGE KATIKA TIBA

Mbegu za mlonge
Habari za siku hii ya leo mdau wetu na mpendwa mfuatiliaji wa tovuti hii ya www.dkmandai.com karibu tuendelea kufahamishana mambo mbalimbali kuhusu mimea tiba.

Kimsingi leo tena Alhamis ya Julai, 09, 2015 somo letu la kuhusu mlonge linaendelea, lakini katika siku hii ya leo Dk. Abdallah Mandai ataelezea namna mbegu za mlonge zinavyoweza kutumika kama tiba ya magonjwa mbalimbali.

Bonyeza 'Play' hapo chini ili kumsikiliza Dk. Mandai akieleza namna mbegu za mlonge zinavyoweza kuwa tiba.

No comments:

Post a Comment