Sunday, 5 July 2015

TANGAZO LA KAZI

Mandai Herbalist Clinic tunatangaza nafasi ya kazi ya Uhasibu kwa yeyote mwenye ngazi ya Certificate au Diploma na awe na uzoefu wa kutosha katika taaluma hiyo. Kama unasifa zilizotajwa hapo juu wasiliana nasi kupitia simu namba 0716 514 718 kwa malezo zaidi.

No comments:

Post a Comment