Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Saturday, 25 July 2015

UCHAGUZI MKUU NCHINI BURUNDI NKURUNZINZA AIBUKA KIDEDEA.

Uchaguzi Mkuu wa Rais nchini Burundi umefanyika tayari japo kulikuwa na mvutano mkubwa sana kutokana na baadhi ya vyama vya siasa na wananchi kwa ujumla kuonekana kupimpinga Rais Pierre Nkurunziza kugombea kwa mara ya tatu.

Lakini mwisho wa siku uchaguzi umefanyika na matokeo yametolewa July 24 2015 na matokeo yameonesha Rais Nkurunziza ameshinda tena uchaguzi huo kwa kupata asilimia 69.4 ya kura na kumshinda mpinzani wake wa karibu Agothon Ruwasa aliyepata asilimia 18.9

Uchaguzi huo ulihusisha jumla ya wagombea nane kwenye nafasi hiyo lakini wagombea wengine walijitoa kabla ya kufanyika kwa uchaguzi huo.

No comments:

Post a Comment