Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Friday, 24 July 2015

UCHOMAJI WA SINDANO USIO SALAMA HUCHANGIA UGONJWA WA HOMA YA INI

Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kuwa hatari ya vifo kutokana na homa ya ini au 'hepatitis' imepunguzwa kwa kiwango kikubwa katika baadhi ya maeneo duniani.


Kwa mujibu wa WHO, homa ya ini aina B na C husababisha asilimia 80 ya saratani ya ini, na huua takriban watu milioni 1.4 kila mwaka.

Sababu moja kubwa ya maambukizi ya 'hepatitis' ni udungaji wa sindano usio salama, katika nchi maskini na nchi tajiri, kama alivyosema Dkt Edward Kelley, katika mahojiano na Redio ya Umo

Dk Edward Kelley anasema kuwa jamii zinapaswa kuamini kuwa huduma ya afya wanayopata ni salama na waje katika vituo vya afya, badala ya kwenda kwa vituo binafsi ambako kuna uwezekano wa kupata sindano zisizo salama. Huwezi kudhani tu kwamba kuwaambia watoa huduma wasitoe udungaji usio salama utakuwa na matokeo yoyote, kwani wengi wanafanya hivyo kwa sababu hawapati malipo kwa muda mrefu, na hivyo wanachukua hatua hii ili kukidhi mahitaji ya familia zao.

Unaweza kuwasiliana nasi Mandai Herbalist Clinic kwa simu namba 0716 300 200, 0769 400 800, 0784 300 300 au barua pepe dkamandaitz@gmail.com ili kupata huduma zetu, kumbuka kuwa tupo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment