Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Saturday, 25 July 2015

UWEZO WA MMEA HUU KATIKA KUTIBU KICHOMI


Hali ya kupata kichomi ni hali ambayo huweza kumkuta mtu yoyote, tatizo hili husababishwa na kutokea kwa hitilafu katika mapafu. Chanzo cha hitilifau huweza kuchangiwa na mashambulizi ya vijidudu kwa mfano ‘steptococcus’.

Mara nyingi matokeo ya matatizo haya huwa ni homa kali, maumivu makali kifuani, kupumua kwa shida, wakati mwingine tatizo hili pia hufuatiwa na kikohozi chenye makohozi.

Moja ya tiba ambayo inaweza kuwa msaada au kutoa ahueni kwa wale wenye tatizo la kukubwa na vichomi mara kwa mara ni pamoja na mmea wa uwatu.

Hii ni aina ya mboga inayopatikana katika masoko ya mboga hasa kwa ajili ya watu wa asili ya kihindi.

Kichomi kinapoanza tu, mhusika anatakiwa kutengeneza chai iliyokolea huo mmea wa uwatu. Tumia tiba hii kwa muda wa siku tatu, lakini kabla ya kuanza tiba hii ni vyema ukawasiliana nasi ili kupata maelekezo zaiid ya namna ya kutumia mmea huu katika tiba.

Unaweza kuwasiliana nasi Mandai Herbalist Clinic kwa simu namba 0716 300 200, 0769 400 800, 0784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment