Tuesday, 7 July 2015

ZIFAHAMU SIFA SABA ZA MCHAICHAI KATIKA TIBAMajani ya mchaichai

Mchai chai ni moja ya kiungo ambacho huwekwa kwenye chai kwa lengo la kuongeza ladha katika kinywaji hicho.

Zifuatazo ni sifa za mchaichai katika tiba.

1. Kushusha joto la mwili.

2. Kusafisha figo.

3. Kupunguza maumivu wakati wa hedhi.

4. Kuzuia kuarisha

5. Kusafisha damu.

6. Kusaidia kusafisha sumu mbalimbali mwili ambazo hutokana na madawa yenye kemikai ya viwandani. Kushusha presha, lakini pia ina uwingi wa virutubisho kwa wale waliopungukiwa na kinga za mwili ni vyema wakatumia mara kwa mara.

Kama unahitaji ushauri au unamaoni zaidi unaweza kupiga simu namba 0716 300 200, 0769 400 800, 0784 300 300. Barua pepe, dkmandaitz@gmail. Au fika ofisini kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment