Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Wednesday, 22 July 2015

ZIPATE HIZI SABABUZA MAUMIVU YA KIUNO


Maumivu ya kiuno ni tatizo linalosumbua wanawake wengi mara kwa mara, tatizo hili hujitokeza wakati wa hedhi.

Maumivu haya huweza kusababishwa na matatizo kwenye via vya uzazi, kibofu cha mkojo, utumbo mkubwa au misuli ya nyonga. Maumivu yanaweza kuwa makali kiasi cha kuathiri shughuli zako za kawaida.

Kuna sababu mbalimbali ambazo zinaweza kupelekea mwanamke kupata maumivu ya kiuno kwa muda mrefu, sababu hizi ni pamoja na maambukizi ya muda mrefu kwenye shingo ya uzazi, mimba kutunga nje ya kizazi kuwa na uvimbe kwenye kizazi pamoja na kushikana kwa via vya uzazi.

Unaweza kuwasiliana nasi Mandai Herbalist Clinic kwa simu namba 0716 300 200, 0769 400 800, 0784 300 300 au barua pepe dkamandaitz@gmail.com ili kupata huduma zetu, kumbuka kuwa tupo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment