Monday, 17 August 2015

ACT-WAZALENDO WAMUANIKA MGOMBEA WAO WA URAIS NI....!?

Chama cha ACT- Wazalendo wamempitisha Profesa Kitila Mkumbo kuwa ndiye atakayepeperusha bendera ya uraisi kupitia chama hicho katika uchaguzi mkuu mwaka huu.

Katibu Mkuu wa Chama hicho, Samson Mwigamba amesema kamati kuu imempitisha Profesa Kitila Mkumbo kugombea Urais ili kupambana na vyama vingine na wamejipanga katika kushinda uchaguzi mkuu kutokana na watu waliokuwepo katika chama hicho ni wazalendo wa vitendo.

Tayari chama hicho kimemchukulia fomu mgombea wao huyo, huku wakijinadi kwamba wamejipanga kushinda.

Unaweza kutangaza nasi sasa wasiliana nasi kwa simu namba 0653 163 838, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment