Monday, 17 August 2015

DALILI ZA UGONJWA WA TEZI LA SHINGONI

Ugonjwa wa tezi la shingoni husababishwa na ukosefu au upungufu wa madini yaitwayo 'iodine' kwenye vifuko vya 'thyroid glands'

Wengine wanaoathiriwa na upungufu huu ni wale wanaokula vyakula vilivyosindikwa au visivyo asili.

Zifuatazo ni baadhi ya dalili za tezi la shingoni  
  • Kuvimba kwa vifuko vya thairoid 
  • Kukosa utulivu wa akili wa mara kwa mara
  •  Hasira za mara kwa mara
  • Kusononeka mara kwa mara
  • Kukosa umakini katika mambo yako  

No comments:

Post a Comment