Thursday, 6 August 2015

DK MANDAI: TIKITI MAJI, NDIMU NA ASALI KWA PAMOJA HUONDOA SHIDA YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Tabibu Abdallaha Mandai Mkurugenzi Mkuu wa Mandai Herbalist Clinic
Habari za leo mdau wa tovuti hii ya www.dkmandai.com kamautakuwa ni mfuatiliaji mzuri basi utakuwa ni shahidikwamba ndani ya wiki hii tumezungumza mambo mengi sana kuhusu matatizo ya uzazi kwa kinababa hususani tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

Lakini itakuwa haina maana kama tumezungumzia sana tatizo hilo na kuweka wazii kuhusu sababu za tatizo na hata madhara yake bila kusema ni tiba ipi inaweza kusaidia kuondosha tatizo hilo.

Nimeona leo nikukutanishe na Tabibu Abdallaha Mandai ambaye anasema kuwa matumizi ya tikiti maji yanapochanganywa na ndimu pamoja na asali huwa ni tiba ya shida ya nguvu za kiume.
Tunda la tikiti maji
Pata nafsi ya kumsikiliza Tabibu Mandai mwenye hapa chini akifafanua juu ya kuandaa tiba hiyo. Bonyeza 'play' ili kusikiliza.
Unaweza kutangaza nasi pia biashara yako yoyote kupitia tovuti hii. Wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment