Tuesday, 4 August 2015

FREEMAN MBOWE KAAMUA KUWEKA WAZI UKWELI WOTE KUHUSU ALIPO DK SLAA.

Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe

Mwishoni mwa mwezi Julai, 2015 Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli Edward Ngoyai Lowassa alitambulishwa rasmi kujiunga na CHADEMA na kukabidhiwa Kadi ya Chama hicho.

Kufuatia kukaribishwa kwa Lowassa ndani ya CHADEMA hapo ndiopo zikaanza kuibuka taarifa kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho Dk Wilbroad Slaa hakupenda ugeni huo na ndio maana hakuonekana katika Vikao mbalimbali vya Chama hicho.

Katibu Mkuu wa CHADEMA Dk. Wilbroad Slaa
Hapa ninayo sauti ya Freeman Mbowe akifafanua yote kuhusu ishu hii ya Dk. Slaa kutoonekana katika vikao mbalimbali vya chama.

Tunapenda kukuaribisha sana kutangaza na tovuti kwa bei nafuu sana tupigie simu namba 0716 300 200, 0784 300 300 barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment