Monday, 10 August 2015

HII NDIO NAFASI INAYOSHIKWA NA TANZANIA KWA KUSHINDWA KUHIFADHI KINYESI CHA WATOTO

Ukiamua kupita baadhi ya maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam kuna wakati utakutana na papa's za watoto kwa ajili zikiwa zimetupawa sehemu ambazo si sahihi.

Je ungependa kujua Tanzania inashika nafasi ya ngapi kwa hii tabia ya kushindwa kuhifadhi vizuri kinyesi cha watoto?

Kwa muujibu wa shirika la kuhudumia watoto UNICEF, Tanzania inashika namba kumi kati ya nchi 38 ulimwenguni ambazo,baadhi ya jamii zake ,hasa akina mama, hazitunzi aina hiyo ya taka taka katika hali ya usafi,hali ambayo inahatarisha afya ya mtoto na familia kwa ujumla.

No comments:

Post a Comment