Wednesday, 5 August 2015

HII NDIYO TASWIRA YA MANDAI HERBALIST CLINIC ASUBUHI YA LEO AGOSTI 5, 2015

Ikiwa unasumbuliwa na magonjwa mbalimbali yakiwemo yale sugu ni vyema ukafanya maamuzi sahihi ya kufika leo Mandai Herbalist Clinic ili upate suluhisho la magonjwa yako sasa.

Baadhi ya wagonjwa pamoja na wasindikizaji wa wagonjwa wakiwa ndani ya kliniki ya Mandai Herbal Clinic wakiendelea kupatiwa huduma
Huduma zikiendelea
Karibu sana Mandai Herbalist Clinic upate suluhisho la magonjwa sugu tiba zetu ni za mimea, matunda, nafaka na mitishamba tunafanya kazi kila siku Jumatatu hadi Jumapili. Kumbuka kuwa tunapatikana Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam na kwa mawasilano zaidi tutafute kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800, 0652 163 838 barua pepe ni dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment