Wednesday, 5 August 2015

HII NI MAALUM KWAKO MWANAUME MWENYE TATIZO LA KUWAHI KUFIKA KILELENISi mara moja au mara mbili nimekuwa nikipokea maswali kutoka kwa wanaume wakiuliza sababu za wao kuwahi kufika kileleni mara wanapokuwa katika tendo la ndoa na wenzi wao.

Kimsingi hili ni tatizo la wanaume wengi ambapo hujikuta wakitoa mbegu mapema sana kipindi cha tendo la ndoa na mara nyingi huambatana na kushindwa kumridhisha mwenzi wake.

Tatizo hili limekua likisababisha aibu kwa wanaume wengi na kujisikia aibu mbele za wenzi wao pale wanaposhindwa kuendelea na tendo.

Kwa kawaida mwanaume anatakiwa kuchukua dakika nne mpaka nane kabla ya kutoa mbegu za kwanza, lakini kuna baadhi ya wanaume wao hutoa mbegu ndani ya dakika moja au kabla ya dakika moja.

Tatizo hili halina sababu za moja kwa moja za kitaalamu zilizofanyiwa utafiti isipokuwa wanasayansi wanaamini sababu zifuatazo zinaweza kuwa chanzo kikuu cha tatizo hili.


  1. Kukaa kwa kipindi kirefu bila kushiriki tendo la ndoa
  2. Kuwa na hofu au wasiwasi wakati wa tendo la ndoa inawezekana wengine huhisi mwanamke anaweza akavaa nguo na kuondoka kabla ya yeye kufika hivyo hujikuta anamaliza haraka kutokana na fikra hizo. 
  3. Kujichua (punyeto) hii nayo inaelezwa kuwa sababu ya tatizo hilo, kwani wengi wanaojichua hufanya kwa haraka kuhofia kukutwa na watu hivyo hali hiyo huwaathiri kwa baadaye na kujikuta wanaingia katika shida hii ya kuwahi kufika haraka kileleni. 
  4. Wengine hupatwa na tatizo hili kutokana na matumizi ya dawa zinazofanya kazi kwenye mishipa ya fahamu.
  5. Hiatoria ya kuwepo kwa tatazo hilo ndani ya ukoo (Kurithi tatizo kwenye ukoo) au magonjwa ya mfumo wa uzazi wa mwanaume

 Ili kugundua kuwa una tatizo hili ni pale ambapo utakuwa unajikuta ukitoa mbegu chini ya dakika nne.

Kwa ushauri zaidi wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au email dkmandaitz@gmail.com 

No comments:

Post a Comment