Sunday, 23 August 2015

HIVI NDIVYO CCM WALIVYOANZA KAMPENI ZAO

Chama Cha Mapinduzi kinazindua rasmi kampeni zake leo kwenye viwanja vya Jangwani ambapo Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan atakabidhiwa ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015 - 2020.

Namna barabara za jiji la Dar es Salaam zilivyopambwa na mabango ya magufuli leo

Makongoro Nyerere na Mhe. Mwigulu Nchemba walipokuwa wakijiandaa kuelekea Jangwani kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM Jangwani.

No comments:

Post a Comment