Saturday, 29 August 2015

HIVI NDIVYO HALI MTAANI ILIVYO ASUBUHI HII YA AGOSTI 29, VIJANA WAKIJIANDAA KUELEKEA JANGWANI KWENYE UZINDUZI WA KAMPENI ZA UKAWA

UKAWA leo Agosti 29 ndio wanazindua rasmi kampeni zao katika viwanja vya jangwani jijini Dar es Salaam. 

Sehemu mbalimbali za jiji la Dar es Salaam tayari vijana wameanza kujianda ili kujisogeza katika viwanja hivyo vya Jangwani kwa lengo la kushuhudia uzinduzi huo.

Hapa ninazo picha za baadhi ya vijana kutoka maeneo ya Ukonga, Mongolandege walipokuwa wakijiandaa kuelekea viwanja vya Jangwani asubuhi hii zitazame hapa chini>>>


No comments:

Post a Comment