Wednesday, 12 August 2015

HIZI NDIO SABABU ZA KUKOSA HEDHI KWA WANAWAKE, ZISOME HAPA

Kwa kawaida si ajabu kumsikia mama mjamzito au mwanamke mwenye umri mkubwa  kuanzia miaka 45 na kuendelea akieleza kwamba ameacha kuingia hedhini.

Lakini kuna baadhi ya wanawake wamekuwa wakikutana na changamoto ya kutoona siku zao licha ya kwamba si wajawazito wala hawajafika umri wa miaka 45 wa hedhi kusimama.(menopause)

Hali hiyo inapotokea kwa mwanamke ambaye tayari alishaanza kuingia hedhini halafu ghafla anajikuta mwezi unapita au miezi na wengine hata mwaka bila kuona siku zake hapo huwa kunakuwa na shida.

Zipo sababu ambazo huchangia mwanamke kukawia kuingia katika hedhi  ambazo ni pamoja na tatizo la upungufu wa damu mwilini, kuishi na majonzi 'stress' wasiwasi, hofu pamoja na matatizo sehemu ya uzazi na udhafu wa mwili pia.

Kama utakuwa unakabiliwa na shida hii ni vyema ukawasiliana nasi Mandai Herbalist Clinic kwa simu namba 0769 400 800, 0784 300 300, 0716 300 200 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kufika ofisini kwetu Dar es Salaam, Ukonga, Mombasa maeneo ya Mongolandege ili kupata ushauri na matibabu ikibidi.

No comments:

Post a Comment