Monday, 3 August 2015

HIZI NDIZO SABABU AMBAZO HUSABABISHA WANAUME WENGI KUKOSA NGUVU ZA KIUME


Suala la hamu ya tendo la ndoa kwa mwanaume au mwanamke ni moja ya hisia muhimu sana kwa mwanadamu wa kawaida kama ilivyo njaa ua usingizi.

Pamoja na umuhimu wa hisia za tendo hilo bado kumekuwa na baadhi ya watu kuandamwa na tatizo la kukosa hamu ya kushiriki kabisa tendo hilo, lakini hapa leo tutawagusa zaidi wanaume au kinababa.

Baadhi ya sababu ambazo huchangia  upungufu wa nguvu za kiume ni kama zifuatazo:
  1. Msongo wa mawazo
  2. Uchovu kupita kiasi
  3. Ulevi kupita kiasi
  4. Kupata 'stroke' au kupooza kwa mwili.
  5. Kujihusiha na kujichua 
  6. Kuwa na wasiwasi wa kutekeleza tendo  la ndoa 
  7. Uwoga wa kufanya tendo la ndoa
  8. Kufanya tendo la ndoa katika mazingara ambayo si rafiki kwa tendo hilo. n.k 
Kama unatatizo hili kwa muda mrefu sasa hebu fika kwetu Mandai Herbalist Clinic kuna vipimo tutakufanyia na kukupatia dawa ambayo itamaliza kabisa tatizo hilo na utakuwa vizuri katika tendo la ndoa. Tupigie simu leo kwa mawasiliano yafuatayo: 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

No comments:

Post a Comment