Tuesday, 18 August 2015

JE, LEO HUKUWEZA KUPITA KABISA KWENYE MEZA ZA MAGAZETI ASUBUHI? BASI USIPATE SHIDA PITIA KURASA ZA MWANZO NA MWISHO ZA GAZETI HILI HAPA


Leo magazeti ya Agosti 18, 2015 yamepambwa na vichwa mbalimbali vya habari, lakini nimebahatika kupata hili la MWANANCHI leo.

Nakupa nafasi ya kutazama ukurasa wake wa mbele na nyuma


Kurasa hizi za mwanzo na mwisho zimeletwa kwako chini ya udhamini wa Mandai Herbalist Clinic wataalam wa kutibu magonjwa sugu kwa njia ya mimea na matunda. Unaweza kuwapigia simu sasa kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment