Friday, 21 August 2015

JE, UMEKUWA UKISIKITIKA AU KUKOSA RAHA KWA SABABU YA KUKOSA MTOTO? SOMA HAPA HUENDA IKAWA MWANZO WA KUAGANA NA TATIZO HILO

Matatizo ya uzazi kwa kinamama ni moja ya tatizo ambalo limekuwa likiwasumbua kinamama wengi ndani ya jamii zetu kwasasa.

Jambo baya zaidi ni kwamba tatizo hili limekuwa likichangia hata migogoro kwa wanandoa na familia kwa ujumla na baadaye kusababisha wanandoa kutarakiana.

Kimsingi kunasababu kadhaa ambazo huweza kuchangia shida hii kwanza huweza kuwa tatizo la mayai kushindwa kupvuka vizuri, au homoni kutobalance na huenda ikawa ni sababu ya uvimbe kwenye kizazi au mirija ya uzazi kuziba.

Tatizo hili huweza kumkuta mwanamke yoyote wakati wa maisha yake hivyo ni vyema kujenga utaratibu wa kuchunguza afya zetu mara kwa mara kadri tunavyoweza.

Lakini huenda wewe ukawa ni mama, au mwanamke ambaye umekuwa ukilia kwa muda mrefu kutokana na kushindwa kushika mimba na baadaye kupata mtoto au huenda umekuwa ukishika mimba halafu baada ya muda fulani imekuwa ikitoka basi usipate shida mama au dada yangu.

Kuna hii dawwa iitwayo 'Mama Asili Plus B51' hii ni dawa ya asili inayopatikana Mandai Herbalist Clinic ambayo inayotengenezwa kutokana na miti shamba.

Dawa hii hadi sasa imeshafanikiwa kutoa matokeo mazuri sana hususani kwa matatizo ya kinamama, ikiwa ni pamoja na kuzibua mirija ya uzazi, kurekebisha hedhi na kuondo tatizo la uvimbe kwenye kizazi.

'Mama Asili Plus B51'
 Pia dawa hii imekuwa ni msaada mkubwa kwa wale wanawake wenye shida ya kutokwa na majimaji yenye harufu mbaya sehemu za siri pamoja na kuondoa fangasi.

Dawa hii ya ‘Mama Asili Plus B51’ ni dawa ya miti shamba iliyochanganywa kitaalam na kuzingatia kanuni za afya ya binadamu na haina kemikali yoyote, kwani ni salama kwa matumizi ya binadamu.

Ikiwa unatatizo hili la uzazi unaweza kutupigia simu sasa kwa namba zifuatazo 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800, 0653 163 838 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com na tutaweza kukufanyia vipimo na baadaye kukupatia dawa ambayo itakufanya kuondokana kabisa na shida hiyo ya kukosa mtoto au watoto.

No comments:

Post a Comment